Huwezi kujadili efficacy ya Trevo kwenye suala la ukimwi kama hujui hata huo ukimwi ni nini.Inasikitisha sana kwamba bado kuna kundi kubwa la watu ambao hawajui maana ya ukimwi,hii ndio kasumba inayotumaliza kijinga sana.Watu wengi wanakufa kutokana na ujinga kama huu.Tafiti zilizowahi kufanywa katika baadhi ya maeneo duniani zinaonesha kwamba bado kuna kundi kubwa la watu ambao bado hawajui tofauti kati ya UKIMWI na VVU(ingawa huyu VVU mwenyewe ni feki).Hili ni tatizo kubwa sana.Mimi siwezi kujadili suala hili watu wakanielewa bila watu hao kujua kwanza maana ya ukimwi.Wewe pamoja na wengine wengi humu kwenye uzi huu hamjui ukimwi ni nini,ndio maana mtu akisema kwamba anaweza kutibu ukimwi watu wanakimbilia kupinga bila kuhoji.Ukijua maana ya ukimwi ni rahisi kuelewa mambo mengi sana ambayo sasa unayapinga;mfano:Nikikwambia kwamba kila mtu hupata ukimwi na kupona pengine bila hata kujijua katika nyakati mbalimbali kwenye maisha yake,utapinga.Hata wewe uliwahi kuwa na ukimwi na ukapona au pengine hata sasa unaweza ukawa na ukimwi lakini hujijui,hata mimi pia,hii pia utapinga.Ukimwi hausababishwi na 'the magic HIV' kama ulivyokaririshwa na serikali ya Marekani kupitia WHO kwa kuingia mikataba na serikali mbalimbali duniani kwa lengo la kuuza tani za ARVs kutoka kwenye viwanda vyao vya madawa.-Unawajua kina Carnegie,J.P Morgan,Rockefeller na kina Ford?-Unaijua vizuri 1910 USA medical reform iliyokuja kuzaa viwanda vya madawa?-Unawajua wamiliki wa FED ya Marekani na malengo yao?-Unajua walioanzisha UNO wana malengo gani?-Unajua kwamba zaidi ya 90% ya chakula unachokula sasa sio organic?Je,unajua ni kwanini?Unahitaji kujua mambo mengi sana kwa undani zaidi ya ujuavyo sasa.Watu wengi wanajua mambo juu juu tu,tena mambo yenyewe wameyajua kupitia radio,TV na magazeti ambapo vyote hivi viko restricted kutoa habari fulani fulani.Watu hawasomi vitabu,hawatembei kuona mambo duniani,hawatumii mitandao ipasavyo,wanategemea main stream media tu.Hata huko mashuleni watu wanakariri tu,hawasomi vitabu vya ziada,husoma vile vya kiada tu na hata hivyo pia hawavisomi sana zaidi kutegemea past papers ili kufaulu mitihani.Mambo haya ndio yanayochangia watu wengi kuwa na uelewa mdogo sana kwenye mambo mengi sana.