Tusidharau Yanga ipo na inaua

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
2,041
Reaction score
2,846
Habari zenu wakuu

Leo Club yetu pendwa (Temu ya wananchi) Dar es salaam Young African itashuka dimbani kuchuana na Rivers United. Lolote linaweza kutokea wakati wowote. Yanga ipo na inaua yatupasa kuchukua tahazari zote.

Tunawatakia kilala kheri katika pambano lao
 
Rivers 3:1 Young African
Mwendo wameumaliza
Warudi nyumbani
 
Hahaaaa leo jamaa walivamia kwenye kambi ya yanga wanamtafuta alie mpiga msela wao wamtoe mwiko nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na leo lazima mpigwe na kitu kizito mpaka mwiko uchomoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…