BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Habari zenu wakuu
Leo Club yetu pendwa (Temu ya wananchi) Dar es salaam Young African itashuka dimbani kuchuana na Rivers United. Lolote linaweza kutokea wakati wowote. Yanga ipo na inaua yatupasa kuchukua tahazari zote.
Tunawatakia kilala kheri katika pambano lao