Tusiende Kariakoo

Tusiende Kariakoo

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
434
Reaction score
1,126
Masikini wezangu, kutokana na mgomo ambao umetangazwa na wafanya biashara wa Kariakoo wa kutofungua maduka mpaka changamoto zao zitakaposilizwa na Serikikali,

Mimi mwenyekiti wa Masikini Tanzania, ninomba tuungane na hao wafanya bishara ili changamoto zetu zitatuliwe pia

Scheme za umwagiliaji zipo nyngi sana Tanzania, katika hizo ni ngapi zinazofanya kazi kwa ufanisi?

Maskini wa mwisho Tanzania ni MKULIMA
 
MM NIKIWA KAMA MSEMAJIVWA MASKINI TANZANIA NASEMA TUGOME PIA
 
Back
Top Bottom