Tusifanye mchezo, Al Ahly Tripoli inaweza kututoa mbele ya wake zetu kwa Mkapa

Tusifanye mchezo, Al Ahly Tripoli inaweza kututoa mbele ya wake zetu kwa Mkapa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli

Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa.

Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu.

1726466401435.jpg
 
Ukweli simba bado sana kimataifa yaani kama uliangalia mpira wa yanga juzi ilicheza chini ya kiwangooo ila jana simba alikuwa anaweweseka wachezaji sijui wanasajiliwa kwa vihezo gani..!
 
Ukweli simba bado sana kimataifa yaani kama uliangalia mpira wa yanga juzi ilicheza chini ya kiwangooo ila jana simba alikuwa anaweweseka wachezaji sijui wanasajiliwa kwa vihezo gani..!
Acha uongo wewe.simba jana wamecheza mpira mzuri na wamekaza,wale waarabu usiwachukulie kitoto.unamjua mabululu wewe?acheni lawama
 
Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli

Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa mkapa

Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu

Simba kwa sasa ni timu mbovu balaa!
Mchezaji kama Balua hakuna kitu pale!
Wale kina Ateba Bure kabisa!
Jana Simba imeponea chupu chupu!
Waarabu waliwapigia mpira mkubwa sana!
Uwezekano wa Simba kupigwa Benjamini Mkapa ni mkubwa mno.
 
Acha uongo wewe.simba jana wamecheza mpira mzuri na wamekaza,wale waarabu usiwachukulie kitoto.unamjua mabululu wewe?acheni lawama
Waarabu vibonde wale walifungwa na Biashara ya Mara. ile mechi wangua Yanga wangeshinda nyingi.
 
SIMBA WANGEMALIZANA KAMA BIASHARA WACHUKUE CHAO MAISHA YAENDELEE
 
Attachments

  • 1726469068370.jpg
    1726469068370.jpg
    74.8 KB · Views: 7
SIMBA WANGEMALIZANA KAMA BIASHARA WACHUKUE CHAO MAISHA YAENDELEE
Hii mechi biashara alifunga akiwa nyumbani au ugenini? Na je una uhakika kikosi cha mwaka huo ndicho cha mwaka huu?

Tusubiri simba acheze hovyo nyumbani ndipo tumuhukumu.

Timu iliyocheza ugenini mbele ya Mashabiki karibia elfu 60 wa mwenyeji huwezi linganisha na kitimu cha cbe chenye Mashabiki mia moja
 
PANYAROAD MLISOMA HII YA ALI KAMWE NAONA YAMEWAKUTA
 
Attachments

  • Screenshot_20240916-100132_Lite.jpg
    Screenshot_20240916-100132_Lite.jpg
    327.6 KB · Views: 6
Simba kwa sasa ni timu mbovu balaa!
Mchezaji kama Balua hakuna kitu pale!
Wale kina Ateba Bure kabisa!
Jana Simba imeponea chupu chupu!
Waarabu waliwapigia mpira mkubwa sana!
Uwezekano wa Simba kupigwa Benjamini Mkapa ni mkubwa mno.
Pdidy amekugongea 'like'. Subiri na wengine wa dizaini yake
 
Yanga alicheza na timu g
Ukweli simba bado sana kimataifa yaani kama uliangalia mpira wa yanga juzi ilicheza chini ya kiwangooo ila jana simba alikuwa anaweweseka wachezaji sijui wanasajiliwa kwa vihezo gani..!v
Linganisha uzani wa hizo timu mbili kwanza
 
Ukweli simba bado sana kimataifa yaani kama uliangalia mpira wa yanga juzi ilicheza chini ya kiwangooo ila jana simba alikuwa anaweweseka wachezaji sijui wanasajiliwa kwa vihezo gani..!
Simba hii inayoonekana mbovu kimataifa ndio hiyohiyo inafika robo huko kimataifa
 
YAAN UWANJANWA KMC WAARABU WANATUPIGA 5
NIKOPALE
 
Back
Top Bottom