Kwaiyo unataka kusema Simba ndio mara ya kwanza kucheza mbele ya mashabiki wengi? Usitake tuyaamini maneno ya rage aisee, na unaposema yanga kacheza na cbe ambayo aikuwa na mashabiki bado inaonekana auna point ya msingi kwani kwenye mechi zote ambazo yanga alicheza shirikisho ambalo mliliita looser cup na kufika fainali alikuwa anacheza kwenye viwanja ambavyo avina mashabiki? Na je alishinda mechi ngapi ugenini na wewe umeshinda ngapi? Na endapo msimu huu utashinda ata mechi Moja ugenini nishtue nikununulie soda🤣Hii mechi biashara alifunga akiwa nyumbani au ugenini? Na je una uhakika kikosi cha mwaka huo ndicho cha mwaka huu?
Tusubiri simba acheze hovyo nyumbani ndipo tumuhukumu.
Timu iliyocheza ugenini mbele ya Mashabiki karibia elfu 60 wa mwenyeji huwezi linganisha na kitimu cha cbe chenye Mashabiki mia moja