Tusifanye shule sehemu ya mateso, chakula shuleni ni jambo la lazima na la muhimu ambalo limetelekezwa na Serikali

Tusifanye shule sehemu ya mateso, chakula shuleni ni jambo la lazima na la muhimu ambalo limetelekezwa na Serikali

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Ili watoto wadogo wa shule za msingi na wenzao wa Sekondari waweze kusoma kwa ufanisi ni lazima wawe wameshiba vizuri. Mwanafunzi anayesoma akiwa na njaa hawezi kuelewa chochote na zaidi sana ataona shule ni sehemu ya mateso.

Chakula bora kwa wakati katika hatua za awali za ukuaji wa mtoto ni muhimu sana hata katika maendeleo ya afya ya akili na mwili.Hili ni jambo lisilopaswa kupuuzwa kama tunataka taifa lenye watu wenye vichwa na miili inayofanya kazi vizuri.

Pia ukosefu wa chakula shuleni ni chanzo kikubwa cha utoro kwa wanafunzi wengi. Ni jambo la kusababusha udumavu na kuwageuza watoto wengine omba omba kwa wenzao.

Serikali ije na mpango wa kutoa chakula bora kwa shule zote za kutwa au kama haiwezi wanafunzi wote wa kuanzia chekechea mpaka darasa la nne wamalize masomo yao saa nne huku wale wengine wote waliobaki wamalize masomo yao saa saba mchana wakajihangaikie wenyewe chakula.
 
Kina nani hao wanaosema hivyo?
Mkuu ni Watanzania.

Pale Kibaha kulikuwa na chuo cha clinical officers enzi za JK walikuwa wanapiga menyu ya uhakika mazagazaga kibao.

Jiwe alivyoingia menyu ikaingia mushkel wakawa wanafulululiza dona na arage haijaungwa. Madogo walimaindi kichiz hata ililetwa humu JF yani ungesoma comments ungecheka watu wanaponda hao wanafunzi kuwa hawakwenda shule kula na anasa bali kusoma.

Nilicheka kichizi wakati madenti wa huku mbele ukiona msosi wao utasema wanadekezwa kumbe ni mbinu ya kukomaza na kufanya IQ zao zitengamae ili wasikariri bali wasome na kuelewa.
 
Halaf wanawatoa watoto saa 12 jioni
Muhimu wazazi ndio wanapaswa kuwa wa kwanza kuwapenda watoto wao.

Leo elimu ni bure, ukiwachangisha watoto hata 100 tu kitu chochote muhimu wazazi wanakuja juu.

Huwezi kutegemea kila kitu asilimia 100 kutoka kwa serikali.

Hata shule za bweni wanakula lakini kuna ada.

Lakini wazazi wetu hawapendi watoto na hili lilidhihirika wazi wakati wa likizo ya COVID-19 wazazi kibao walikuwa wanaomba shule zifunguliwe, watoto wao wanewachosha🤣
 
Jiwe alikuwa sadist tu
Mkuu ni watanzania.

Pale Kibaha kulikuwa na chuo cha clinical officers enzi za JK walikuwa wanapiga menyu ya uhakika mazagazaga kibao.

Jiwe alivyoingia menyu ikaingia mushkel wakawa wanafulululiza dona na arage haijaungwa. Madogo walimaindi kichiz hata ililetwa humu JF yani ungesoma comments ungecheka watu wanaponda hao wanafunzi kuwa hawakwenda shule kula na anasa bali kusoma.

Nilicheka kichiz wakati madenti wa huku mbele ukiona msosi wao utasema wanadekezwa kumbe ni mbinu ya kukomaza na kufanya IQ zao zitengamae ili wasikariri bali wasome na kuelewa.
 
Wazazi wanawapenda sana watoto umaskini ndio tatizo na ni wajibu wa serikali kuhudumia watoto wa maskini.

Shilingi mia haiwezi kumpa mtoto chakula chochote cha maana, hata uji mweupe usio na chumvi hauwezi kununuliwa kwa shilingi mia.

Badala ya kuwachangisha fedha watoto maskini ile 4% ya mapato ya Halmashauri kwa ajili ya vijana na wanawake na pesa nyingine za ziada zielekezwe kuwapa chakula wanafunzi mashuleni.
Muhimu wazazi ndio wanapaswa kuwa wa kwanza kuwapenda watoto wao.

Leo elimu ni bure, ukiwachangisha watoto hata 100 tu kitu chochote muhimu wazazi wanakuja juu.

Huwezi kutegemea kila kitu asilimia 100 kutoka kwa serikali.

Hata shule za bweni wanakula lakini kuna ada.

Lakini wazazi wetu hawapendi watoto na hili lilidhihirika wazi wakati wa likizo ya COVID-19 wazazi kibao walikuwa wanaomba shule zifunguliwe, watoto wao wanewachosha[emoji1787]
 
Wazazi wanawapenda sana watoto umaskini ndio tatizo na ni wajibu wa serikali kuhudumia watoto wa maskini.

Shilingi mia haiwezi kumpa mtoto chakula chochote cha maana, hata uji mweupe usio na chumvi hauwezi kununuliwa kwa shilingi mia.

Badala ya kuwachangisha fedha watoto maskini ile 4% ya mapato ya Halmashauri kwa ajili ya vijana na wanawake na pesa nyingine za ziada zielekezwe kuwapa chakula wanafunzi mashuleni.
Ulishawahi kwenda huko halmashauri ukakuta hilo fungu la wanawake na vijana ?

Au unasikia tu stori za wanasiasa.

Halafu kama hukujua, halmashauri hazi-print hela, ukiziongezea mzigo na zenyewe zinaongeza mzigo wa ushuru kwa mlipaji.

Leo serikali inalipa ada, nyinyi kuwanywesha hata uji watoto wenu mnasubiria serikali. Huu ni uzuzu.

Tafsiri yake ni kwamba, ukishazaa umemaliza. Serikali ipambane naye. Kifuatazo ni kudai uniform pia wapewe na serikali.
 
Serikali imeruhusu michango shuleni tena?

Wanasema eti hujaenda shule kula (anasa) bali kusoma. Wakati wenzetu mambele wanafunzi wanapiga msosi wa nguvu na hakuna kuchapwa na wakiwa wakubwa wanafanya maajabu
Hata shule zao zilizoko nchini ISM, IST, Watoto wanakula njema, hakuna viboko, wanasomea laptop na wanaenda kuvumbua vitu vikubwa.
Nafikiri kuna uhusiano mkubwa kati ya viboko na mentality ya kitumwa. Wazungu hawahitaji viboko, lakini mie navikubali vilinishepu.
Otherwise ningekuwa mkulima na mvutaji bangi huko milimani.
Nikikumbuka matukio ya viboko yaliyonifanya niache utoro, niwe mtii, nisikilize nachoelekezwa ni mengi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom