Hata shule zao zilizoko nchini ISM, IST, Watoto wanakula njema, hakuna viboko, wanasomea laptop na wanaenda kuvumbua vitu vikubwa.
Nafikiri kuna uhusiano mkubwa kati ya viboko na mentality ya kitumwa. Wazungu hawahitaji viboko, lakini mie navikubali vilinishepu.
Otherwise ningekuwa mkulima na mvutaji bangi huko milimani.
Nikikumbuka matukio ya viboko yaliyonifanya niache utoro, niwe mtii, nisikilize nachoelekezwa ni mengi.
Everyday is Saturday............................... 😎