Tusifanye usambazaji wa konekshen za watu kuwa jambo la kawaida, tunaharibu maisha ya watu

Tusifanye usambazaji wa konekshen za watu kuwa jambo la kawaida, tunaharibu maisha ya watu

Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu.

Siku hizi mambo mengi yapo hadharani na yanaelezewa kwa upana na urefu, Matatizo ya Afya ya Akili iwemo. Ni dhahiri kuwa haya mambo yanaweza muumiza mtu katika fikra yake na kusababisha msongo wa mawazo ambapo unaweza kuharibu mfumo wa maisha ya mtu au mbaya zaidi ukaharibu maisha ya mtu kimoja kuanzia kazini, chuoni, shuleni na hata nyumbani.

Mitandaoni ni moja ya sehemu ambayo tunafanyiana unyanyasaji mkubwa sana, tunatukana na comments za kutisha.

Chukulia mfano Mange alivyopost connection ya Gigy, tukumbuke ni jambo la faragha, halituhusu, yeye kupost na sisi kuendelea kusambaza na kushadadia huku tukituna kwa maneno ya kashfa tayari ni kosa na sio uungwana.

Ni kwasababu hatujiweki katika viatu vyao ndio maana tunaona sawa tu kuendeleza jambo hili, lakini fikiria mtu wako wa karibu leo, mama yako, dada yako au wewe mwenyewe unapatwa na jambo hili utaweza kuhimili manyanyaso na masimango yanayokuja kwako? Sasa kwanini tunaendelea kuwa sehemu ya watu wanaendeleza ukatili huu dhidi ya waathirika hawa?

Tubadilike, jamii bora inaanza kujengwa na wewe.
Watanzania wengi wanaishi maisha ya kuwindana, kupigana, kutapeliana, kutojaliana.

Hizo nasaha zinaweza kumfikirisha mtu anayejali, mtu asiyejaki atataka kufanya connwction kuwa ni kama haki yake ya kikatiba.
 
Wao ndio wa kulaumiwa kwa nini wajirekodi au waruhusu kurekodiwa wakiwa uchi? ukishajirekodi kinachofuata ni kupata watazamaji, acha watu waendelee kutazama vipilipili wameyataka wenyewe
 
Huyu mchezo wa kuchukua video nikiwa napeleka moto nilishafanya sana ujanani

Kubwa zaidi ni kucheki ufanisi wangu pale nikiwa nimetulia. Nilipata A nyingi tu, B+, B and C. Uzuri nilipata D siku moja tu kitu ilikuwa iliingia inatoka na sauti flani hivi zinasikika msituni
 
Ishu ni umaskini/ukosefu wa pesa ,dada wa taifa anatoa hadi 2M kwa connection kali
 
Mtaala mpya si umeiona ya elimu?, umeiona combination ya HISTORY, GEOGRAPHY AND CULTURE? HCG? au Age, culture and BIOLOGY (ABC). Foreign culture, History and Geography (FocHG).NI kwasababu hata watunga Sera hawewez kubuni nje ya kuchukua elim ya kukop kutoka ughaibun.
Screenshot_20240323-140621.png
 
Back
Top Bottom