Tusifikie kuulizana kadi za vyama kwenye nyumba za kupanga

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa mbele
Watanzania tuitunze amani hii ndogo kama chembe ya haradani amani hii ndogo ndio inafanya wewe ule ugali na dagaa Wa kukaanga hapo mtaani
Amani hii ndogo ndio inafanya ndege zitue na kuruka pale airport
 
Ungeshauri watanzania tupambane nasi tujenge...kupanga kunaumiza sana mkuu
 
Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa mbele
Watanzania tuitunze amani hii ndogo kama chembe ya haradani amani hii ndogo ndio inafanya wewe ule ugali na dagaa Wa kukaanga hapo mtaani
Amani hii ndogo ndio inafanya ndege zitue na kuruka pale airport
kwani kuna tatizo kutafuta nyumba ingine ya kupanga gentleman?

kuna mwingine ikiwa hujaoa hakurusu upange kwenye nyumba yake and vise versa is true, hiyo nayo ni chuki?

ikiwa huna na hujatimiza vigezo na masharti ya kupanga eneo hilo ni muhimu Hekima na Busara vikuelekeze panapoendana na sifa na vigezo ulivyo navyo na vya mwenye nyumba, na itapendeza zaid 🐒
 
Kuna kitu kwenye tangazo la msiba la King Kikii kimenitisha sana .. Kuna picha ya rais...!
 
Back
Top Bottom