Ungeshauri watanzania tupambane nasi tujenge...kupanga kunaumiza sana mkuuWatanzania tuitunze amani hii ndogo kama chembe ya haradani amani hii ndogo ndio inafanya wewe ule ugali na dagaa Wa kukaanga hapo mtaani
kwani kuna tatizo kutafuta nyumba ingine ya kupanga gentleman?Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa mbele
Watanzania tuitunze amani hii ndogo kama chembe ya haradani amani hii ndogo ndio inafanya wewe ule ugali na dagaa Wa kukaanga hapo mtaani
Amani hii ndogo ndio inafanya ndege zitue na kuruka pale airport
shida watu kisomo hakuna!