Wasomi wetu utadhani hawakusoma, inawezekana hata huko Dodoma hakuna mipango miji inayozingatiwa. Ingekuwa vema baadhi ya ofisi na wizara zikajengwa Tabora, nyingine Morogoro, nyingine Singida, nyingine Kigoma, Kongwa, Msalato, Kibaigwa, Mbeya, Mwanza, Tanga, nk ili kutawanya maendeleo na kurahisishia watu baadhi ya huduma.
Zimetanyiwa wapi,wakati Ofisi zote za serikali na taasisi zake,zipo Mtumba na ni njia ya Dar
Mbona unalaumu bila kuwa na ushahidi wa kazi iliyofanyika hadi sasa?..Wasomi wetu utadhani hawakusoma, inawezekana hata huko Dodoma hakuna mipango miji inayozingatiwa. Ingekuwa vema baadhi ya ofisi na wizara zikajengwa Tabora, nyingine Morogoro, nyingine Singida, nyingine Kigoma, Kongwa, Msalato, Kibaigwa, Mbeya, Mwanza, Tanga, nk ili kutawanya maendeleo na kurahisishia watu baadhi ya huduma.
Sio ofisi zote...Zimetanyiwa wapi,wakati Ofisi zote za serikali na taasisi zake,zipo Mtumba na ni njia ya Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu watu wapige perdiem za safari kama hawana akili nzuri?!Wasomi wetu utadhani hawakusoma, inawezekana hata huko Dodoma hakuna mipango miji inayozingatiwa. Ingekuwa vema baadhi ya ofisi na wizara zikajengwa Tabora, nyingine Morogoro, nyingine Singida, nyingine Kigoma, Kongwa, Msalato, Kibaigwa, Mbeya, Mwanza, Tanga, nk ili kutawanya maendeleo na kurahisishia watu baadhi ya huduma.
Perdiem zitapungua Sana kama ofisi zitatawanywa kuliko kila mtu Tanzania nzima asafiri kwenda Dodoma kuhudumiwa. Mfano Wizara ya maliasili na utalii ingekuwa Arusha, Wizara ya madini ingekuwa Mwanza, Wizara ya kilimo ingekuwa Morogoro,SUAHalafu watu wapige perdiem za safari kama hawana akili nzuri?!