Tusiihushishe CCM na tuhuma za watu binafsi chombo cha kutoa haki ni mahakama RC Nawanda akajitetee Mahakamani

Tusiihushishe CCM na tuhuma za watu binafsi chombo cha kutoa haki ni mahakama RC Nawanda akajitetee Mahakamani

Sio mmoja ni wengi!

Nimekutonya kuwa, kama dereva mwenyewe anasaga na kusagwa huku nyie abiria mnatazama si itafika time abiria nao watawashwa na kuhamasika na kisha kuanza kusagana?

Ndivyo ilivyo sasa. La hatutaki tabia hii, tumwondoe Jezebel kwenye kiti cha enzi cha nchi na taifa letu zuri ambalo Mungu amatupa na kutuweka ili uchafu na tabia yake isiendelee kuchafua jamii na nchi yetu!!
Acha matusi, Why usiandike tu comment zako kawaida
 
Acha matusi, Why usiandike tu comment zako kawaida
Mjinga wewe Mr Beast!

Unafikiri kuna neno mbadala la "msagaji" au "shoga?" kwa mtu yeyote mwenye tabia hiyo?

Hebu fundisha baraza basi, labda tutakuelewa. Vinginevyo, wewe ni mjinga, nyamaza. Ama soma comment then nenda zako kule uendako!

La sivyo, waambie wafanyao matendo hayo waache wenyewe kujitusi na kujitukana na wengine hawataweza kuyasema matendo yao
 
Unaushahidi au ndiokifungwa mnaanza kuomba michango
 
Hao kina Prof. Yahaya ndo CCM yenyewe.. The image of CCM drowned by their actions

Lazima tuikemee CCM,, lazima tunyooshe vidole CCM
 
Hizi ngojera za kila siku kuhusu huyu mtoto aliyedai kulawitiwa na RC Nawanda ifike wakati ziache kukihusisha Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake.

Si-CCM Wala Serikali ya CCM wanaoagiza mwanachama au kiongozi yoyote kuvunja Sheria ndio maana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alimwondoa Nawanda kwenye U-RC ndani ya masaa 24 baada tu ya tetesi.

Vyombo vinavyohusika vimfikishe RC Nawanda mahakamani bila visingizio kwa kuwa kwa kufanya hivyo mnaharibu Sifa njema ya Chama Cha Mapinduzi zaidi sana mnaharibu Sifa njema za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Tunaotaka kumsaidia RC Nawanda tukamsaidie mahakamani sio Polisi kwakuwa Polisi sio chombo Cha kutoa haki na kesi zinaishia Mahakamani sio Polisi ili kuondoa hii sintofahamu.

LAZIMA TUJUE, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa Misingi ya Sheria na hakuna aliyeko juu ya hizo Sheria.

Lazima Kila mmoja ajue CCM ni kubwa kuliko yoyote tusiichafue ikatugharimu kwani bila CCM imara hakuna Tanzania imara.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Pia soma
Basi tukubaliane tu kuwa Chadema inahusika.
 
Back
Top Bottom