Tusiikatie tamaa nchi yetu , Bad leaders Pass but Country remains

Tusiikatie tamaa nchi yetu , Bad leaders Pass but Country remains

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Ni miaka imepita , Kama Taifa tumekwama maeneo yote muhimu Kama kuwa na

👇🏾

-Afya bora
-Elimu bora
-Ajira kwa vijana
-Miundombinu bora

Kinachotokea tunaenda hatua tano mbele na kurudi hatua kumi nyuma kisha tunajipongeza. Yaani kama alivyowahi kuimba msanii mmoja anajiita Prof Jay katika wimbo wake wa Bongo Dar es Salaam.

Mliotazama match Leo ya simba sport Club nadhani Mmejionea gharama zilizotumika kurekibisha uwanja na uwanja wenyewe . Kidding. We are stumble as a country.

Nchi ilipata Uhuru mwaka 1961 na leo ni mwaka 2025.

Kimahesabu tuna miaka 64 ya Uhuru Ila changamoto zilizotajwa na baba wa Taifa na baadhi ya waasisi wa Taifa hili bado ni zilezile.

Kama, umasikini , ujinga na maradhi. Haiwezekani kila kampeni Mgombea anatoa ahadi ya kujenga matundu ya choo zaidia ya miaka 60s we are not serious anymore.

Na changamoto za miaka 64 nyuma bado ni zilezile.

Ukosefu mzuri wa miundombinu
Uhaba wa ajira
Elimu duni
Huduma za Afya mbovu.

Je kipi kifanyike ?

Ni Kuiondoa Ccm madarakini

Kuindoa sisiemu madarakani ndo kete pekee ya mwisho iliyobaki katika huu mchezo wa draft na huu ni mchezo wa French hivyo hakuna kula kwa kurudi nyuma Kama walivyokuwa wanakula wanaharakati bandia waliodai wanataka kuiondoa Sisiemu madaraka (Double Agent)

Ccmi inaondokaje madarakani?

- kutoa Elimu kubwa ya uraia Kama anavyofanya Tundu Lissu na Team yake , hapa anachofanya Hon Lissu kuna watu wanabeza kwakuwa wanajihisi wapo secured katika kutumia vyombo Vya dola, Kama nilivyomsikia Mbunge mmoja anaitwa Jesca I think huyu anachekesha kwakuwa hatazami mbele kabisa , she is not visionary mambo hubadilika hivyo hii kukariri ni jambo baya Sana MTU aliyekuwa anakusapoti anaweza kukubadilikia dakika sifuri wao ni wabunge wapo well of Ila badala waangalie kuboresha maslahi ya hao Polisi Ila wanafikiria kuwatumia katika uchaguzi kuzuia mabadiliko for their own benefits /interest.

-Kubadilisha mfumo mzima wa uchaguzi , hapa Agenda ya NENR ndo itapata mashiko kwa wananchi na Vyama vinavyojiandaa kushika dola

- kufanya Mass mobilization , kuwahamasisha wananchi kwa wingi na kusema inatosha sasa.

Yapi Maoni yangu binafsi kuelekea October 2025.?

Tuendelee kuipenda nchi yetu , tuwe wazalendo Sana .

Tusiweke Chuki kwa nchi Ila tuwachukie viongozi wote wala rushwa na ambao wamekuwa wakilihujumu hili Taifa tangu tupate Uhuru.

Resentment (Chuki) inatabia ya kuhama hama zamani WATU walikuwa wanawachukia viongozi wala rushwa na baadae wakaanza kuichukia Ccm na sasa wameanza kuichukia nchi taratibu hapa sasa tuwe makini sana tusifike huko. Tuombe Sana Mungu tusifike huko.


Bad leaders Pass but country Remains
Viongozi wabaya hupita Ila nchi hubaki, hivyo tusiichukie nchi Ila tudeal na hao viongozi.

Love your country 🇯🇲

NENR -No Election No Reform verified ✊🏿


Screenshot_20250410-002606_1744234002624.jpg



Picha hapo juu ni vidole vimeshika Mbegu ambayo ni ndogo Sana .


Mbegu imetumika Kama FAITH au imani kuwa unabidi Kuwa na imani hata ikiwa ndogo Ila uwe nayo imani ndogo ndo huleta mabadiliko ndani yako na nje endapo ukiishikilia .


So tuendelee kuwa na imani na kiongozi wetu Tundulissu na kumuombea kheri ili siku moja ,tukiwepo au tusipokuepo Ila Taifa letu lipate kushuhudia ladha mpya ya uongozi utakaolenga kuwafikiwa watanzania wote pasipokuwabagua wala kuwatenga.


Mathew 17:20

" I tell you, if you have faith as small as a mustard seed, you can say to this mountain, ‘Move from here to there,’ and it will move. Nothing will be impossible for you.”
 
Ni miaka imepita , Kama Taifa tumekwama maneno yote muhimu kuanazia

Afya bora
Elimi bora
Ajira
Miondombinu

Kinachotokea tunaenda hatua tano mbele na kurudi hatua kumi nyumi kisha tunajipongeza.

Nchi ilipata Uhuru mwaka 1961 na leo ni mwaka 2025.

Kimahesabu tuna miaka 64 ya Uhuru Ila changamoto zilizotajwana na baba wa Taifa na baadhi ya waasisi wa Taifa hili bado zipo vilevile.

Kama, umasikini , Magonjwa na maradhi.

Na changamoto za miaka 64 nyuma bado ni zilezile.

Ukosefu mzuri wa miundombinu
Uhaba wa ajira
Elimu duni
Huduma za Afya mbovu.

Je kipi kifanyike ?

Kuiondoa Ccm madarakini ?

Kuindoa sehemu madarakani ndo kete pekee ya mwisho iliyobaki .

Je Ccmi inaondokaje madarakani?

- kutoa Elimu kubwa ya uraia Kama anavyofanya Tundu Lissu na Team yake

-Kubadilisha mfumo mzima wa uchaguzi .

- kufanya Mass mobilization , kuwahamasisha wananchi kusema inatosha sasa.

Maoni yangu binafsi kuelekea October 2025.

Tuendelee kuipenda nchi yetu , tuwe wazalendo Sana .

Tusiweke Chuki kwa nchi Ila tuwachukie viongozi wote wala rushwa na ambao wamekuwa wakilihujumu hili Taifa .

Resentment (Chuki) inatabia ya kuhama zamani WATU walikuwa wanawachukia viongozi wala rushwa na sasa wakaanza kuichukia Ccm na wameanza kuichukia nchi , tuwe makini sana tusifike huko.

Bad leaders Pass but country Remains
Viongozi wabaya hupita Ila nchi hubaki.

Love your country

NENR -No Election No Reform verified ✊🏿
Msikilize Rais wa Tls alivyotamka jana.

Uchambuzi wako unashabihiana na hotuba yake
 
Back
Top Bottom