Ikija gari na kutaka kukuchukua bila utaratibu wewe piga NDURYU kwamba unatekwa ili raia waje kuwatembezea VICHAPO.Hivi karibuni kumekuwa na vitendo vya utekaji, utesaji na hata mauaji. Wengi tumekuwa tukiishia kulalamika tu bila kuchukua hatua madhubuti. Kuanzia leo naomba kila Mtanzania/Watanzania tujitahidi kujihami.
Kila mmoja awe na chochote kinachoweza kumsaidia kujihami na watekaji. Mimi naamini inawezekana kabisa kujihami.
Lakini tusiwe kama Nyumbu ambao hata wawe 5000, Simba mmoja anaweza kuwaua wote mmoja baada ya mwingine kwa sababu hawana UMOJA.
Kila usafiripo uwe na njia kadhaa za kujihami na watekaji. Kila mmoja awe mbunifu wa njia sahihi za kupambana na watekaji.
Ushauri mzuri sana, mtumbwi umetobolewaHivi karibuni kumekuwa na vitendo vya utekaji, utesaji na hata mauaji. Wengi tumekuwa tukiishia kulalamika tu bila kuchukua hatua madhubuti. Kuanzia leo naomba kila Mtanzania/Watanzania tujitahidi kujihami.