Tusijidanganye Simba hii ni ya kawaida sana, uongozi unaendeshwa kiujanja ujanja, MO tuachie timu yetu


Kwenye hisa 51% ww umenunua ngapi?
 
Reactions: BRN
Mwamedi tuachie timu yetu,Mzee Kilomoni na Bi Hindu njooni tuwape timu. Mzee Kilomoni uwe Rais na Bi Hindu uwe CEO.
 
Ukosefu wa maarifa ni mzigo
 
Tanzania tukiachana na mapenzi ya vilabu, chama na mengine na tukatumia akili kureason muwekezaji wa kweli kwenye mpira ni yusuph tu wa Azam sio GSM wa MO.
 
Kwani Mzee Kilomoni anasemaje kuhusu jambo hili! Akisema tuandamne, basi mimi niko tayari hata kesho.
 
Hahahahaha kweli Simba ni mbumbumbu jifunzeni kuwa na uvumilivu na shukrani.
 
Utopolo mtupu umeandika.
 
Waosema mo awaachie timu yao ni utopolo na wanaosema Gsm awaache timu yao ni makolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…