Tusijidanganye Simba hii ni ya kawaida sana, uongozi unaendeshwa kiujanja ujanja, MO tuachie timu yetu

Mimi sina uwezo huo, huyo mwenye uwezo wa hyo 20 b ameweka? Kwahyo nami nikahaidi 500b kiutapeli? Utapeli siwezi.
Tujifanye hajaweka, club inaendeshwa kwa hela ipi? au unahisi wanasimba ni wapumbavu

Mo hajaweka 20B, wachezaji wanasajiliwa kwa hela gani?

Mo hajaweka 20B, hicho unacholingia simba kuwa miongon mwa vilabu bora afrika, brand hiyo ya klab ilitokana na hela gan?

Na ulivyo cite mchezaji mbon umemcite kibu pekee yake, sawa nikubali ni wa laki5, akina chama, sakho, kanoute, phiri, outara, okra wanalipwa sh ngap na inatoka wapi?

Maswali ya kukuuliza niengi kiufupi ni kwamba, wewe hujachangia hata laki kwenye klab, kama hujaweka hela yako kaz yako ni moja tu, kushabikia timu ikishinda na hata tukifungwa shabikia mambo ya pesa waachie wenye nazo we kazi yako kufurahia matinda yaliyopatikana na yanayoendelea kupatikana, kumbuka hata hiyo hela akiiweka we utafaidika kitu kimoja tu, kufurah timu ikishinda ambapo hata saiv unashangilia kusibiria draw ya makund CAFCL
 
Wakuu kwema?

Ukitizima kwa jicho la kiufundi hii timu yetu ya Simba ni timu dhaifu, kweli tutasema tumefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Africa lakini tumekutana na timu gani? Huwezi kujisifu kwa kupigana na mlevi.

Tazama mechi ya Azam, Singida na Yanga, Simba yetu ikikutana na timu iliyo 'compact' hatutoboi, ukweli usemwe. Tuna wachezaji ambao ni wa kawaida sana, mtu kama Kibu ataifikisha wapi timu?

Aya twende kwenye uongozi, huku ndiyo ujanja ujanja, walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa kimataifa. Mpaka sasa kocha mkuu Mgunda hana mkataba, hawajui kama wamuongezee au watafute kocha mpya.

Mpaka sasa anayejiita mwekezaji hajaweka ile pesa shilingi bilioni 20 kama thamani ya hisa ya asilimia 49. Timu inasajili wachezaji wa laki 5 kama akina Kibu itafika wapi? Angalia Yanga wamecheza michezo pungufu ila ndiyo wanaongoza ligi. Halafu kuna mbumbumbu wanasema tutachukua kombe, labda kombe la kahawa.

Mo Dewj tuachie timu yetu, ondoka na huyo dada yako Barbra, wanachama tunataka 20b, hatuwezi kuendelea kuwa mambumbumbu kiasi hiki.
Hapo ulipo huna uwezo wa kuwalisha wachezaji hata chai tu ya siku moja ila mdomo juu balaa. Masikini ana kelele mno mi nadhani njia ya kutatua matatizo siyo kunyosheana vidole.
 
Wakuu kwema?

Ukitizima kwa jicho la kiufundi hii timu yetu ya Simba ni timu dhaifu, kweli tutasema tumefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Africa lakini tumekutana na timu gani? Huwezi kujisifu kwa kupigana na mlevi.

Tazama mechi ya Azam, Singida na Yanga, Simba yetu ikikutana na timu iliyo 'compact' hatutoboi, ukweli usemwe. Tuna wachezaji ambao ni wa kawaida sana, mtu kama Kibu ataifikisha wapi timu?

Aya twende kwenye uongozi, huku ndiyo ujanja ujanja, walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa kimataifa. Mpaka sasa kocha mkuu Mgunda hana mkataba, hawajui kama wamuongezee au watafute kocha mpya.

Mpaka sasa anayejiita mwekezaji hajaweka ile pesa shilingi bilioni 20 kama thamani ya hisa ya asilimia 49. Timu inasajili wachezaji wa laki 5 kama akina Kibu itafika wapi? Angalia Yanga wamecheza michezo pungufu ila ndiyo wanaongoza ligi. Halafu kuna mbumbumbu wanasema tutachukua kombe, labda kombe la kahawa.

Mo Dewj tuachie timu yetu, ondoka na huyo dada yako Barbra, wanachama tunataka 20b, hatuwezi kuendelea kuwa mambumbumbu kiasi hiki.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...
 
Leo sasa ndio watakuelewa kumbe uliwaambia tangu mwaka 2022
 
Back
Top Bottom