Tusijidanganye Simba hii ni ya kawaida sana, uongozi unaendeshwa kiujanja ujanja, MO tuachie timu yetu

Hili suala nishawahi kuliongea sana., ukweli mchungu ambao mashabiki wa simba hawataki kuukubali ni kwamba timu yao ni ya kawaida sana hawana ubora ambao wanafikiri wanao, group stage ya caf isiwapumbaze kwa maana njia waliyopita ni nyepesi sana, kati ya big bullets na agosto sioni timu hata moja ya kumsumbua ihefu pale
 
Huu ukweli upo wazi.. ngoja group stage ndio tutatafutana.
 
Ulipokula mihogo umekunywa maji.
 
Zalan ndio ilikuwa team bora wale mayele aliojipigia hatrick maana mwaka jana walicheza fainali ya Caf champions league kweli ukiwa yanga akili zinaruka kwa hyo de agosto na nyasa big bullets ni vibonde kushinda zalan fc?
 
Wewe naye usituchoshe!
Huyo Dejan wako anacheza namba ngapi?
 
Hivi kama yanga anapewa penati kwa mtu aliyeshika nje ya box kwanini asiwe bingwa? Tuambie hiyo yanga bora ilivyokutana na simba matokeo yalikuwaje?
 
2012- 2013 ulikuwa ukipita mtaa wa msimbazi pale karikoo kulikuwa na kitambaa juu kimeandikwa " MO DEWJI ISAIDIE SIMBA"

nataka kuuliza vipi kile kitambaa bado kipo au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…