Tanzania ikisaidiwa na kizazi kipya imekuwa nchi kama vile ya wapuuzi yaani tuna puuza mambo muhimu
1. Wanajeshi wameuliwa huko Congo kama nchi tuna puuza puuza tu hakuna majonzi ya kitaifa
2. Majengo yame dondoka kariakoo mpaka sasa tume puuza tu hakuna mwamko wa kujali na wasiwasi
3. Uchaguzi umeibiwa waziwazi wananchi wanapuuza tu kama vile wamezoea
4. Mikataba ya kitaifa ya kisirisiri tuna puuza tu kama ni mambo ya wapinzani
Kwa wale ambao wanajali tunawapongeza. Kwa wapigania haki tunawapongeza. Tumuombe Mungu atukomeshee chawa kwenye nchi yetu na watu wawe wazalendo na kupenda rasilimali zao ambazo zinatafunwa na wachache