Tusikubali kuwa nchi ya wapuuzi!

Tanzania hata kichaa anaweza kuiongoza, tuna KAZI ya kusifia upumbavu Tu Usiku na Mchana
 
Tafuta uzi humu nimeandika kwa kirefu namna CCM walivyoifanya nchi yetu kama Mobutu alivyoifanya Congo.

Na bado. Yajayo yanafurahisha! Hii nchi inaenda kuwa under total control ya maadui wa nje siku si nyingi.
Kweli kabis, inasikitisha! Walio ikomboa nchii hii toka kwa Mabeberu, wangerudi leo wala hawawezi itambua Tanganyika yao. Nchi watu wamekuwa waoga sana. Baba wa Taifa aliwai sema hivi, uwoga uzaa unafiki, unafiki uzaa Uchawa alafu mwisho ni umauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…