Tusikubali miradi ya Ujenzi ifungwe, tuisaidie Serikali ila tusikope!

Tusikubali miradi ya Ujenzi ifungwe, tuisaidie Serikali ila tusikope!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Wakati Wana CCM wakielekeza akili zao na nguvu zao kushinda chaguzi "kwa kishindo" huku chini Hali sio nzuri kabisa.

Na huku Wakandarasi wakimnunulia Rais ndege kwa ajili ya shughuli zake za kisiasa( naweza kurekebishwa hapa)

Miradi ya ujenzi wa inasimama, SABABU Wakandarasi hawa hawajalipwa na Serikali ya CCM! Hali hii inaleta hasara kubwa sana Kwa Taifa maana riba yake huwa kubwa sana watakapokuja kulipa, kuna miradi ambayo imepewa advance payment Tu na Hadi sasa IPC nyingine hazijalipwa.

Tafadhali Sana ule mradi WA Maji na Ile ya barabara ambayo wameshaondoa wafanyakazi (local) tusikubali iishie hapo.

Kama haikua na fedha basi hakukua na sababu ya kuianzisha, riba inakua KUBWA Sana Sana sometimes Hadi 20% ya gharama ya mradi hulipwq kama riba.

Sina ubaya, KARIBU Sumbawanga. Mama anaupiga mwingi
 
Hizo riba ni mipango mingine ya viongozi wa CCM kuiba fedha za wananchi.Haiwezekani wakanadarasi unaacha kuwalipa wakati lipa inazidi kukua
 
Back
Top Bottom