Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Dikteta lazima apingwe na kila mwenye akili timamuSasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Samia lazima aanze na kumponda JPM kwanza halafu ndo anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa nikiobserve Sana hili...
Huyu ni mpenda sifa vibaya snSasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu mama anafurahia.
Siyo vizuri kabisa.
-Namba moja,hampendi kuusikia ukweli.Sasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu mama anafurahia.
Siyo vizuri kabisa.
Magufuli alikuwa mwehu katili na muuaji, lazima apondwe japo kaishapondekaSasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu mama anafurahia.
Siyo vizuri kabisa.
NaniHuyu ni mpenda sifa vibaya sn
Kila mara hao viumbe wanaambiwa kwamba "regase" huwa inajilinda yenyewe.Haihitaji back-ups!Waache wakaze tu shingo zao kama wanameza mapera mabichi.Kinuju Kiturilo Crimea Wakudadavuwa Nigrastratatract mama D Jane Lowassa Stroke Magonjwa Mtambuka simameni imara kulinda legasi
Binadam sisi ni wanafiki saanaaa, acha tu twende hivyoSasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu mama anafurahia.
Siyo vizuri kabisa.
Hajielewagi huyo!Huwa anaandika linalomuijia kichwani tu kama ana typhoid!Mbona hayo yalikuwa kwenye mpango wa miaka kumi ya Taifa
Hawafanyi kwa kusudi bali wanafanya kama mfano mbaya wa kumuiga yule bwana.πSasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu mama anafurahia.
Siyo vizuri kabisa.
Mimi naona ni sawa kabisa, Jiwe alikuwa mtu mbaya sana na muuaji. Pia yeye mwenyewe alikuwa anawaponda watangulizi wake kuwa hawajafanya kitu. Usijitoe akili kumbuka yeye ndiye mwasisi wa hilo jambo.Sasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu mama anafurahia.
Siyo vizuri kabisa.
Ccm hawategemei kura yak wewe mnyonge/mmachinga. Unakumbuka kauli ya hata msipopiga kura CCM lakini CCM ndiyo itaunda serikali ilitolewa na nani? Jiwe alishaonyesha njia ya kushinda uchaguzi bila kura za wananchi,refer uchaguzi uliopita. Pole sana Sukuma gang kwani mtapata tabu sana.Ila sijui katika chaguzi za 2024 na 2025 watawaambia nibi vipenzi wa JPM ili waweze kueleweka. Makundi ya wamachinga na wachuuzi waliohamishwa katika maeneo ambayo yeye binafsi aliwaruhusu kufanya biashara zao, familia za waathirika wa masoko yanayoungua mara kwa mara, wana CCM ambao walimkubali na kukubaliana naye kwa dhati kuhusu miundombinu yake mingi ya kimkakati, kanda pendwa ambayo sasa wanaikebehi kama Sukuma Gang, acha makundi mengine yenye chuki na Mzee wa Msoga, na kundi jipya lililoibuka la wenye kuchukizwa na serikali kukopa kopa hovyo na mgawanyo wa mkopo ukiwapendelea wale wa pande za Mchambawima.
ILIMWENGU WA SASA SIYO WA KIKAA NYUMBANI BILA KUTOKA ...MweneziNi kama vile Magufuli alikuwa Chadema!
Kulinda legacy sio kaz rahis mkuu πππSasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana hili.
Kila anayetaka kujenga msingi wa hoja fulani lazima aanze na madongo kwa Hayati Magufuli halafu mama anafurahia.
Siyo vizuri kabisa.