Tusikubali tabia ya kumponda Hayati Magufuli ili kujipendekeza/kupitisha ombi kwa Rais Samia

Vipi mbona kama kuna kitu unakijua kuhusu Magufuli na hutaki kukisema? Kwani imetokea nini?

Mungu wenu hamtaki kabisa asemwe mmekuwa wapumbavu kabisa why mapungufu yake msikubali halafu turudi kwenye mazuri yake tuyaendeleze?

Mie naona hakuna anayekataa mazuri yake na yanaendelezwa Ila nachokiona ni nyie kujikuta zaidi kumtetea kwenye mapungufu au mabaya yake jambo ambalo tunawashangaa sana.

Anyway kumetokea nini mbona makasiriko?
 
Mwendazake alipenda kuponda wengine, acha apondwe tu.
 
Kura yao siyo lazima. Usitishie
watu nyau.
 
Wanaofanya hivyo hawakosei mkuu maana wameshasoma uelekeo wa mabosi.

Mabosi wa awamu hii wanabadili kila kitu alichokifanya Magufuli.

Hivyo ili uonekane relevant awamu hii, kandia sana Magufuli utapata unachotaka

Na hii tabia ilianzishwa na CAG kwenye ile ripoti yake iliyojaa kashfa na matusi kwa awamu ya tano.
 
Kura yao siyo lazima. Usitishie
watu nyau.
Sijui upo kundi gani? Wewe ni paka, pusi au nyau? Lakini nahisi kabisa unakipaji ambacho kupitia kwake Mods wanaweza kuanzisha kitufe cha "dislike" [emoji107] ili kiende sambamba na kile cha "like" [emoji106]

Lakini ili watu wakutendee haki kwa uhalisia wake wote, pia kinaweza kuwekwa kingine cha "uvundo" [emoji3517] ambacho mimi kwa maoni yangu naona ndicho kinakustahili we mbwiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…