Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum.
Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum tuache wenye uwezo wa siasa wazifanye na wawanie nafasi na washinde na sio jinsia kutumika kama kigezo cha kuwapa wanawake vyeo vya ofa.
Leo tujiulize katika majumbani mwetu katika ya jinsia ya kiume na ya kike jinsia gani inajishughulisha kufuatilia mambo ya msingi taifani na nyingine ikijikita kufuatilia umbea na tamthilia ?
Katika familia zetu tulizokuzwa kati ya Mama na Baba nani siasa alikuwa akiipa sikio zaidi ?
Marafiki zetu je, ni jinsia gani inauelekeo wa siasa kuliko jinsia nyingine ?
Ndugu jamaa na marafiki mkutanapo ni jinsia gani anagalau hata hujishughulisha kwa mara moja kujadili hali ya nchi kisiasa kuliko jinsia nyingine ?
Nachoweza kusema haya maswali madogo angalau yanajenga uelewa mfupi kuwa ni jinsia gani mambo magumu kama siasa hayapo upande wake na jinsia gani hujishughulisha zaidi na mambo hayo.
Kuwapa watu vyeo huku wakiwa hawapo interested na mambo hayo kwa sababu ya kubalance jinsia haileti tija kwa taifa.