Tusilazimishe ajira kwa kuwakosesha watu ajira

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Elimu yetu imekaa katika hali ambayo kila mmoja anaijua, kuenda mwisho kuchukua gamba pale juu.

Kutokana na ubovu wa yanayotoka chuoni kumeanzisha bodi ili kuhakiki tena ubora wa wale waliotoka vyuoni, bodi ya wahasibu, bodi ya bankers, wahandisi, wagavi nk. Hii imefanya watu waajiriwe katika bodi hizo, ni kitu kizuri lakini kimesababisha ukosefu wa ajira kwa namna nyingine.

Ikumbukwe kuwa certified ni gharama, kaangalieni gharama za kupata CPA, CPB nk. Na soko la ajira linaandika CPA added advantage, uwe umekuwa certified na bodi ya wagavi, school of law nk. Kwa wale waliosoma kwa mikopo watapata wapi hela ya kusoma ili kupata hizo certifications?

Matokeo ni wasomi kubaki mtaani kwa kuwa hawana sifa ya ziada kwa kukosa certification. Then what happens? Suluhisho ni lipi?

Nadhani hiyo mitihani ya CPA ifanyike mwaka wa tatu huoni kwa wanafunzi wa Accounts na Finance ili watoke wakiwa na CPA. Iwe hivyo kwa certfications nyingine kama za wagavi nk. Hii italeta uthamani kwenye elimu yetu kuliko mtu kutoka chuoni kasha kutafuta kingine kumuongezea sifa kwenye elimu yake wakati gharama za mitihani ziko juu sana.

Kama mtakomaa na hali ilivyo, the rich will get richer wakati wale wenzangu na mie watabaki huko huko walipo na gap kati ya walionacho na wasionacho kuongezeka.

Nawasilisha.

Salaam

Umeongea yote ya akilini mwangu, japo nashangaa wana JF hawajatoa mchango wowote sijui Labda sie tuko nchi ya peke yetu hadi kuliona hili!!🙄
 
Mfumo wetu wa elimu ume fail na wenye mamlaka wamekwama hawajui cha kufanya.

Vijana wetu wenye degrees zao wanaajirika serikalini na kwenye taasisi au mashirika yenye mahusiano na serikali ila kwenye Private corporates ni kwa nadra sana kutoboa that’s why hata wakiajiriwa kuna capacity building programs kibao ili kufukia mashimo.
 
Back
Top Bottom