Nimekubaliana nawewe, mtenda hutendwaUsumbufu wote wa nini?? Kwani siye girlfriends zetu tuliowaoa wengine jamaa walitupora na siye tukapora wawengine..!
Mlishano tu huu mbona kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kuna wenye watoto wa kike mkuu, ni shida..Nimeanza mimi kwa kusema Amen Tafadhali tuungane katika hili