Tusimame kwa dakika 1 kuwaombea wadogo zetu wa kike umri kati ya miaka 15- 18, wanaodhani boyfriends zao watawaoa

Tusimame kwa dakika 1 kuwaombea wadogo zetu wa kike umri kati ya miaka 15- 18, wanaodhani boyfriends zao watawaoa

Wanapasha misuli moto kwanza,baadae ndio watajua ukweli.
 
mleta mada hawa wadogo zetu sio wa kusimama tu bali na kufunga na kuomba kabisa.uswazi ndo kuna tatizo hilo kubwa sana na age hii akikoswa kwosa na mimba ni jambo la kumshukuru Mungu.hizi taasisi zinazojifanya kumpambania mtoto wa kike zinaishia tu maredion na kwenye tv ila aziishi maisha halisi ya binti wa vingunguti au kwetu kigogo
 
Nina watoto wakike wanao elekea kwenye umri huo....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Ili uhalisia wa mapenz uwepo lazma waamin kufa na kuzikana ili siku ya kutendwa alie vzr na somo limuingie haswa...
Awe kama huyu muhenga aliesema...
Bora kuwa malaya tu
 
Usumbufu wote wa nini?? Kwani siye girlfriends zetu tuliowaoa wengine jamaa walitupora na siye tukapora wawengine..!

Mlishano tu huu mbona kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ni wabishi kwel kweli hata hawaogopi ile kauli ya Mkulu
 
mkuu kuna wengine wanatoboa sio wote watatoka kapa
 
hahahaha mke wangu yuko mahali now na ki-boy chake wakidanganyana eti wataoana.

waache mkuu wadanganyane wamiliki halisi tupo huku tunalipigania taifa kwa porojo za mitandaoni
 
Back
Top Bottom