jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi.
Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna budi kuzuia usafirishaji wa wanyama ili kuendekeza umuhimu wa watalii kuja na kuwaona.
naweza kutolea mfano wa TIGER ambao ni mnyama asiyepatikana Tanzania....anayetaka kumuona inabidi aende India au vietnam huko!
So far hatujawahi kumleta kwenye mbuga zetu ili watalii wafike kumuona.
Mungu alitupa wanyama hawa na mazingira haya kwa makusudi sisi tunapaswa kuyatumia mazingira yetu na wanyama hawa kujiimarisha kiuchumi,kidiplomasia ,kimazingira na kiutawala.
ni ujuha kuneemesha wanaokuja kutaka kujionea maajabu ya dunia eti wawe wanawaona wakiwa huko kwao kisa tutapata lumpsum ya fedha kwa muda mfupi.
Tuwaache huku huku waje kutuletea fedha sustainably.
anayeruhusu kupeleka Twiga nje ni mhujumu na hana nia njema na ustawi wa Taifa.
Royal Tour itaonesha nini iwapo wanyama wanaondoka?
Wasalaamu!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!