Tusimchukulie poa Founder Tz.

Tusimchukulie poa Founder Tz.

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Msanii kutoka kambi ya wakimbizi nyarugusi Founder Tz .
Nilikuwa naomba Jamii tumtazame kwa jicho la tatu anakitu cha ziada.

Amefanikiwa kutoa Hints songs Kali ya kwanza iliitwa nitatokaje na hivi Karibuni amekuja na kibao cha niepushie.

Wadau wa mziki msianche hii Mali mbona kwa misso missondo mmeeweza
 
Back
Top Bottom