"Tusime herbal" - Dawa ya kupata watoto jinsia tofauti

"Tusime herbal" - Dawa ya kupata watoto jinsia tofauti

Emanzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
261
Reaction score
118
Tusime herbal

Wanajamii forum ninapenda kujua kama kuna walio interested au wana uitaji wa dawa hii,bibi yangu kanirithisha dawa ambayo Nafikiri kama angejua mapema umuhimu wake kwa siku hizi angenufaika nayo ila sasa anazeeka,and she just passed it to me. Nimeipa jina la "Tusime herbal"

Hii dawa ni mbegu tu za mmea fulani na haina madhala yoyote kwa mtumiaji,

Inatumika kwa wanandoa wanao taka kupata watoto jinsia tofauti yaani kama umezaa watoto wa kiume tu na unahitaji mtoto wa kike anayetumia dawa ni mama,kama umezaa watoto wa kike tu na unahitaji wa kiume anayetumia dawa ni baba.

Hii aina utani kama unachangia jaribu kuwa msataharabu au nipm.

Tupo kwenye matengenezo ya website ili kuweka taarifa zote kule ili na kwa walio nje wenye uhitaji wapate info kamili na kutupata.
 
mkuu tupo busy siasani tutakutafuta chaguzi zikiisha i bet november
 
Huyo bibi/nyanya yako alikuwa na watoto wa jinsia zote? Na wangapi?
 
Back
Top Bottom