Mpila ni nini mkuu?Mtu wa kwanza kulaumiwa apa alitakiwa yule wa simba alie fanya maamuzi kusema tusicheze mechi trh nane kukataliwa ku train, ndo ukatae kucheza? , Uwanja wa serikali mmekodi siku ya mechi tu kwa nn ulazimishe ku train kana kwamba uwanja wa yanga, utalipia garama za ku train?
Turudi kweny maboresho ya kanuni zetu kundana na mazingila yetu. Ulaya kilq club ina kiwanja team pinzani ku train hakuna shida.
Viwanja vinavyo tumiwa na ligi kuu tanzania asilimia kubwa vina milikiwa na serikali , tasisi au watu binafsi, viwanja vinatumika pia kwa matumizi mengine nje ya mpila kama mikutano, hafla mbalimbali.
Tuwe na kanuni ambazo zina shabihana na ukweli wa maisha yetu halisi ku train iwe ni takwa la wenyeji wa mchezo., Ukikataliwa timu ngeni andaa kiwanja cha mazoezi kabla ya mechi
Hii lazima itafanyikaMkuu naongelea ligi kumalizika turudi mezani kwenye kanuni zetu, kosa ili lisije kujirudia tena msimu ujao.
Swali la nyongeza akili za kuomba kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mkapa barua ya tarehe 12-06-2025 kwanini akili hizo hizo hazikutumika tarehe 3,4 mwezi wa tatu mwaka 2025, ili kufanya mazoezi tarehe 07-06-2025Mtu wa kwanza kulaumiwa apa alitakiwa yule wa simba alie fanya maamuzi kusema tusicheze mechi trh nane kukataliwa ku train, ndo ukatae kucheza? , Uwanja wa serikali mmekodi siku ya mechi tu kwa nn ulazimishe ku train kana kwamba uwanja wa yanga, utalipia garama za ku train?