Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Tuachane na wale wanaotaka jambo la kuwapnag machinga liende vibaya kwa maelngo yao ya kisiasa. Ni lazima miji yetu ipangike, kila mtu afanye biashara kwa ustaarabu.
Tuisaidie serikali ya Rais Samia kufanikisha jambo hili kwa kuacha kununua bidhaa za machinga wanaokaa kwenye maeneo ambayo hawaruhusiwi. Sisi wanununuzi tunaweza kuwa msaada mkubwa sana katiuka hili.
Tununue bidhaa za wale ambao wanakaa katika utaratibu.