Tusinunue vitu Used jamani

Hivi kwanini mnahangaika sana? Kila siku mnafungua nyuzi mia kuhusu ma single mama, hivi kuna mtu amewalazimisha kuwaoa?

Wewe kama hutaki si ukae kimya uoe hao wapya wako
Hawa ni walio pigwa chini na pisi Kali ujanani kwaiyo wanamasiriko yao na stress
 
Kama MTU huna uwez wa ku afford kipya chukua midrange
 
Kwa hiyo nitume magari mapya tu mkuu mbona kazi sasa
770 scania mpya ni milioni 500 bado sijaipakia na ushuru nusu ya bei
Au unazungumzia mikoba na 👖
 
Hii

Hii mada inazungumzia vitu kama vitu??? Maana naona walengwa ni wanaume tu
Hapana! sio vitu vya Dukani Mkuu.

Nazungumzia vitu tunavyolipia kwenye kaya fulani ili tuondoke na mali yao waliyoikuza.
 
Hivi kwanini mnahangaika sana? Kila siku mnafungua nyuzi mia kuhusu ma single mama, hivi kuna mtu amewalazimisha kuwaoa?

Wewe kama hutaki si ukae kimya uoe hao wapya wako
Labda nina kichwa kizito kuelewa?

Mkuu mbona mada inazungumzia habari za kununua vitu vipya tu fridge radio TVs etc etc etc?habari za kuoa na kuolewa wewe umezitoa wapi?
 
Vitu vipya vipo, ila hujaamua tu kuvitafuta.

KATAA VITU USED
Sina uhitaji. Nilishalipia miaka hiyo. Naangalia wazee wenzangu tu wanavyobadili vitu vipya kuwa used na kuviingiza sokoni huku wakitegemea vijana wapate mpya.
 
Tatizo sio kuvinunua, inabidi tuvinunue tukivitumia tunaviacha na wengine waonje shida ni kuvimiliki mazima
 
Umenikumbusha mwl wangu marketing alinifundisha bidhaa zimegawanyika katika makundi matatu kuna (1) brand new then ( 2)second hand na (3) Subject to repaire sasa inategemea bidhaa yako uliipata kwenye hali gani?
 
Dunia imepinda sana siku hizi huku uswahilini kwetu kitoto hata kubleed hakijaanza tayari kishatolewa bikra.

Gari ya mwaka 2003 odometer inasoma 1600000 mileage na ishatembea sana rough road huku service ikizingatiwa kwa kiwango kidogo sana huku wewe ukiwa owner wa 31 unaoa halafu unaibandika plate namba E unasema mpya.

Miaka hii vitu used vimetumika sana havifai hata kufanyiwa refurbished!
 
Kila mtu na chaguo lake usipangie watu maisha chukua vitu vyako vipya eka ndani tumia kwa ushamba wako tu hata unaeza usijue used na newe ipi ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…