Tusinunue vitu Used jamani

Ss mkuu vitu vipya cku hz n under 17 ss itakuwajeee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Hawa under 30 kilometer zishasomaa mpk ukiingiza GIA pande zt hmna ktu๐Ÿ˜‚
 
Bajeti yako inaruhusu nunua Mpya, Bajeti yako hairuhusu nunua used, kitakufaa mpaka pale ukiweza kununua Kipya.
 
Umeandika hii ppst ukiwa kwenye gari mpya gani? Au unategemea kupanda gari mpya gani?
 
Acha kutupotosha Mkuu.
Friji za mtumba zinagandisha barafu haraka sana halafu zinadumu miaka 800
Aliyelitumia hilo friji likiwa jipya hakugundua hivyo? Au itakuwa alipata jipya bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ