Tusinunue vitu Used jamani

WANAUME WENZANGU NAWASHAURI TUTOE PESA ZETU KULIPIA KITU NEW NA SIO USED MAANA KITU USED NI KITU KIBOVU NA HAKINA THAMANI KULINGANISHA NA KIPYA.
Wanaume na vitu used,
Wa Cuba tumeelewa,
hata hivyo ......hv hivyo vipya vyenye makaratasi kinapatikana wapi mkuu, humuhuku mtaani?
 
Kwa hiyo huyu mke wangu hana ubora kwakuwa tu nimnunua na kukuta kesha tumika?

Kuwa makini dogo kuipata bikiira ya mwanamke hapa Tanganyika ni jambo zito sana na litakuchukulia muda iwapo fake zipo.
 
Vitu gani unamaanisha? Mbususu, simu au magari? Mbona mbususu used unanunua?
 
Blender za mtumba ziko vzr sana
Sana. Eti mtu anaanza kupotosha hapa ununue majag maviatu ya dukani. Uache sniker za mtumba?.
Mimi kuanzia jeans,mashati,viatu vyote vya mtumba,hata bei ya mtumba iko juu kuliko hayo majag yenu ya dukani vijana wa 2000.

Mimi hata simu tu napenda SAMSUNG used from UK au USA,inakuwa bora mara 5 ya mpya. Ksbb zote tumezijaribu kwa namna tofauti mpya na used.
Simu mpya unaweza kutumia miezi mitatu tu simu ya laki 9 inaanza kuzima zima.

Vijana mnaotaka vipya mmekutana na bahati mbaya na teknologia ya machina. Anasukuma tu. Usishangae kukutana na majag yote ya kushoto Tz,ya kulia yote kayapeleka Kenya.
Kitu used
 
Wanaume kubaka watoto, kulawiti watoto, wengine wanabaka hadi watoto wa kuwazaa.

Wanaume kulaghai watoto wadogo mnaita gesti, kwenye nyumba za marafiki, na tuvyumba twenu mbali na nyumbani mnaenda mnawazagaza huko.

Mkirudi hum mnataka mdada bikra,, miaka inasonga eeeeh, mkifikisha miaka 36-40.
Mnarudi oooh mie nataka mwanamke nimeumizwa na wadada wamenikomba pesa, unaingia kwenye ndoa siku mbili tamaa tena unamtaka dada wa kazi jirani, mara kidada cha stationary.
 
Hapa umemaliza Code imeeleweka
 
Kwa hoja hii dada zetu ma single mother wanata... au basi ngoja ninyamaze tu.
 
Mali mpya adimu sana sokoni, labda uende shamba na viwandani uweke order
 
Hivi kwanini mnahangaika sana? Kila siku mnafungua nyuzi mia kuhusu ma single mama, hivi kuna mtu amewalazimisha kuwaoa?

Wewe kama hutaki si ukae kimya uoe hao wapya wako
Ukisikia aiiiii, ujue tayari
 
Umenikumbusha mwl wangu marketing alinifundisha bidhaa zimegawanyika katika makundi matatu kuna (1) brand new then ( 2)second hand na (3) Subject to repaire sasa inategemea bidhaa yako uliipata kwenye hali gani?
Subject to repair hiyo haifai kabisa, itamaliza garage na mafundi wote mjini
 
Vitu used ni vingi kupita vipya, na vinamudu mikikimikiki mingi.🤣

Vipya havina experience.
 
Vitu vipya venyewe ndio hivi vilivojaa madukani toka China?? Unanunuwa bag la shule la mtoto hajamaliza mwezi Halifai tena..kuna siku pia nilinunua suitcase mya kwa bahati nzuri nilikosa kusafiri niliporudi nyumbani limefumuka lote yaani afadhali ningenunuwa box tu.ukija kwenye vifaa vya ujenzi huko ndio utalia angalau kidogo kuna waturuki hapo keko wanaduka lao ila hiyo bei usiombe..
 
huku kwetu wanapenda sana panga na visu used eti vina makali sana
 
Kwa iyo Na Gari itaninua zero km...Kuna vingine used ipo oG Zaidi Niidosho YA dukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…