Tusinunue vitu Used jamani

Mbona kama sijaelewa
 
Mada zenyewe kama ndio hizo hata mimi ningefuta tu.


Maana zimekaa kiumbeaumbea tu
 
NO SINGLE SIZE FITS ALL

Unaweza ukawa umelichoka gari ukaliuza kama used , ila mnunuaji alijipanga miaka zaidi ya mitano ili apate hicho unachoona wewe used.

USILOLIJUA; Used kwako, kipya kwa mwengine

Hapo ni swala la fikra tu na Kila mtu ana zake..

Kwa upande wa wanawake, hakuna mwanamke used

Unayemuona wewe used mwenzako ndio anamtamani awe mpya wake
 
Kumbuka hata hivyo vipya, kuna feki kibao

Sometimes used ni bora kuliko mpya.
 
Hivi kwanini mnahangaika sana? Kila siku mnafungua nyuzi mia kuhusu ma single mama, hivi kuna mtu amewalazimisha kuwaoa?

Wewe kama hutaki si ukae kimya uoe hao wapya wako
Kumbe ndio anamaanisha hivyo?sikumuelewa nilichukua kama ilivyo kumbe looooh salalaeee
 
Kama umelenga wanaume,hapo sawa.

Lakini kama ni maisha ya kawaida,umebugi.
-Siku ukiacha kuvaa nguo mtumba,ukawezesha na wengine,tutakuelewa.
-Unajilinganishaje na wanaoacha vitu na kununua vipya? Shukuru Mungu hata hivyo unaviona. Vingekuwa havina thamani,usingeviona huku au kuona vikitumika.
-Uwezo wako pengine unakuruhusu kununua vipya, lakini wengine hata hivyo used hawana uwezo wa kuvipata.

Maisha ni barabara pana, mtu kumpita mwenzie,ruksa.
 
Sio kweli kila kilicho used kilidharauliwa wengine shida huwafanya wauze


All in all usinunue used apple products yoyote
 
Nikaanza kuwaza kitu used nachotak ninunue kumbe sio Lengo la mada πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sijapenda
 
Soko zima ni la biashara za vitu used. Sio rahisi kupata kitu kipya
 
ni vizuri kuzingatia taratibu, kanuni na sheria kwa weledi katika kuwasilisha hoja, habari, tetesi n.k.

hata hivyo wew ni mkali wa hoja unafahamika, nyuzi mbili tu kuzuiwa unafyumu hivyo?

hebu ziandike tena kwa lugha nyingine mujarabu tuone itakuaje. kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa πŸ’
 
Hakuna taratibu yoyote niliyoivunja.

Sijawahi kuandika uzi wenye matusi au kumtukana mtu humu, na mara nyingi Moderators uchwara wasiokuwa na Ueledi wanafuta nyuzi bila ya kuzingatia dhamira ya uzi.

KUNA MEMBERS KIBAO TU WALISHALALAMIKA KUHUSU HUU UPUUZI LAKINI HAKUNA HATUA ILIYOCHUKULIWA.

HUU UTOTO NIMEUVUMILIA SANA, NA SASAIVI NIMESHA-GIVEUP MAANA NAONA WASIMAMIZI WA HUMU HAWATAKI WATU WA-UPLOAD THREADS.
 
Kitu kipya utakipata wapi?

Labda twende kwa Mswati!
 
check nao tu, mbana ni watu wangwana sana ,
na ofcoz watakuelekeza wap kuna changamoto kwenye hizo bandiko zako walizo zizuia πŸ’

just be positive, focus on resolving
 
Hivi kwanini mnahangaika sana? Kila siku mnafungua nyuzi mia kuhusu ma single mama, hivi kuna mtu amewalazimisha kuwaoa?

Wewe kama hutaki si ukae kimya uoe hao wapya wako
Vifaa used au mamitumba kumbe ni code inayohusu ma single mamas!

Mkuu mbona umechelewa kutangiza, ili utuokoe kuliwa akili?

Mi nikawa nafikiria ma fridge na mapasi toka ulaya!

Basi hii topic ime codewa kwa akili za kijanja sana, ukitaka kukubaliana na mimi, zisome comments za wadau.
 
Hii code wataing'amua wachache sana
 
Najua hutaki vijana waoe masingo maza mwenyewe siwezi, ila kwenye upande wa material things hizo gari used huko ulaya unataka zipelekwe wapi na vile tuko na hela za kuungaunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…