Tusinunue vitu Used jamani

Leo nimeona mwingine amekula nduki baada ya kutaka kuuziwa kitu used fb, watu walishajitayarisha kugonga menu kwa raha zao jamaa katuma sms kuwa mali aliyokuwa amelipia ni used, hivyo hawezi kuendelea na mchakato wa kupeleka kwake mali aliyoaminishwa kuwa ni brand new! Haya maisha changamoto sana.
 
Kuna tofauti kati ya kitu ambacho ni "Used" na kitu ambacho ni "Preowned"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…