Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kila transaction uliyofanya kuanzia mwezi wa 7 serikali inakukata 4000 mara 2. Huu ni WIZI. nasisitiza huu ni WIZI WA WAZI KABISA.
Serikali Hii inafanya WIZI WA PANYA OFFICE. ni tofauti ndogo tu na PANYA ROAD. Watanzania tusikubali na kuruhusu huu WIZI tunaofanyiwa na Serikali hii ya kikatili.
Yaani nimekaa tu home zinakuja msg nimekatwa jumla tsh 8,000 napiga simu bank wananiambia ni TOZO. HUU NI WIZI. SERIKALI INATUIBIA WAZIWAZI KABISA.
Nikamateni mnifunge....mimi nimesema. Wacha iwe tu. Nimekaa pale.👉😡