Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wakuu afadhali ungeundwa mfumo wa centra sewege system kwenye maeneo mapya. Haya mambo ya watu kufungua chamber za vyoo kipindi hiki cha mvua ni hatari kwa afya ya jamii.
Watoto wanachezea maji na wengine wanakunywa maji machafu. Gharama za maisha zimepanda, wakati unafikiria chakula na kodi ya nyumba linazuka la mtoto kuhara.
Huko kweny kuna hali gani wenzangu?