Tusio na mialiko ya Pasaka tukutane hapa

kanchibay

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
671
Reaction score
690
Enyi nduguzangu, natumai mu wazima kabisa waafya,

Kwakweli nduguzanguni wale ambao hatuna hata wakutualika ili tupate kushiriki furaha ya sikukuu ya pasaka tukutane hapa ili tuweze kujua lipi latusibu mpaka tunakosa mtu wa kutupa mualiko.

Uzi tayari.
 
Mpaka Sasa ubao wa mialiko unasoma 0..ndugu zangu mkumbuke iddy sio mbal malipo Ni hapahapa duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] kwakweliii hili swala nimeliona kabisa.
 
6 katikati hapa yaani hivi vyuma jamaniiii mmmh watu kimyaaa
 
Kwakweli niswala la kushangaza kuona watu wana tagiana kwenye nyuzi kazaa na wanapeana mialiko kabambe kwaajili ya easter, alaf mda huo unajiona huna hata wa kukupa mualiko hata wa kula ukoko!! Aisee inauma sana hasa sisi tusiokua famous kwenye forum hii na istoshe mda huo tuna zero income, hata wachumba hatuna[emoji47][emoji32] taabu tunazopata sio za nchi hii
 
Nipo ugenini imebidi nijialike mwenyewe kwa kupiga tungi tu
 
Hapana hapa mtashinda njaa wote mkakutanike kwa mariam birian
 
Kweli nimeamini watu vyuma vimekaza. Mpaka sasa hakuna mwaliko na sijui naenda wapi nimeamua tu nichungulie humu JF kujiliwaza. Akina dada Mungu anawaona mjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…