Tusio na mialiko ya Pasaka tukutane hapa

Tusio na mialiko ya Pasaka tukutane hapa

Daah aisee nipo hapa mwanza , kwa sku 4 hivi siwezi kupata hata sku moja kamualiko kweli??
 
Hivi pasaka ni leo au kesho? maana mimi mwenzenu sielewi elewi sijui ndo uzee unaninyemelea.
 
Karibu, Mimi nimeaandaa Kambwa kadogo na Pilau la kutosha, sio mbaya ukikaribia, maana Waswahili wanasema "Kizuri kula na wenzio ".Karibuni tushehe.
 
Wengine kwetu sisi Leo ni siku ya kazi.. mwaliko ni 0-0 mpaka sasa
Nashukuru sana
 
Back
Top Bottom