Sonkuno
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 206
- 171
Aisee Aisee vp kwa sasa unavinguvu kidogoNilipiga wife alipo safiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Aisee vp kwa sasa unavinguvu kidogoNilipiga wife alipo safiri
Niko vzrAisee Aisee vp kwa sasa unavinguvu kidogo
Ulifanikiwa kusoma?Isaya 4 ngoja nikasome
Eee nimesoma isaya 4Ulifanikiwa kusoma?
Umejifunza nini?Eee nimesoma isaya 4
Kwamba awa viumbe wapo wengi maana wanawake 7 wamesema wataji uhudumia kila kitu lakini waitwe jina la bwana yule sikusoma zaidiUmejifunza nini?
Kwa muktadha huo basi ukiona mtu ana idati kubwa ya hwa wapendwa basi uje anatembea na neno...Amen?Kwamba awa viumbe wapo wengi maana wanawake 7 wamesema wataji uhudumia kila kitu lakini waitwe jina la bwana yule sikusoma zaidi
Haswaaa, its all begins in your head. Kama kichwani umejijengea kuwa huwezi kuishi bila mchepuko yes itakuwa hivyo.Ni mindset yako tu mkuu...self control
Huyo si mwanaume ni mvulana. Real man,real gentlemen hawawazi ujinga kama huo. Ndio kuna vishawishi lakin wanaweza kuvikabili na ku stay loyal kwa kile wanchokiamini.MWANAUME ASIE NA MCHEPUKO BASI NA WAZI ANAPIGA PUNYETO.
AmenKwa muktadha huo basi ukiona mtu ana idati kubwa ya hwa wapendwa basi uje anatembea na neno...Amen?