Tusio na michepuko tukutane hapa

Kwamba awa viumbe wapo wengi maana wanawake 7 wamesema wataji uhudumia kila kitu lakini waitwe jina la bwana yule sikusoma zaidi
Kwa muktadha huo basi ukiona mtu ana idati kubwa ya hwa wapendwa basi uje anatembea na neno...Amen?
 
Aisee kumbe wanaume tuko tofauti sana
 
Ni mindset yako tu mkuu...self control
Haswaaa, its all begins in your head. Kama kichwani umejijengea kuwa huwezi kuishi bila mchepuko yes itakuwa hivyo.

Lakin kama kichwani umejijengea uaminifu, ndio hivyo hivyo utakavyo ishi
 
MWANAUME ASIE NA MCHEPUKO BASI NA WAZI ANAPIGA PUNYETO.
Huyo si mwanaume ni mvulana. Real man,real gentlemen hawawazi ujinga kama huo. Ndio kuna vishawishi lakin wanaweza kuvikabili na ku stay loyal kwa kile wanchokiamini.

So kama ww huwezi pls usidhani wanaume wengine wana mawazo kama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…