sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika hachat vizuri kama mwanzoni alipokua hajaona sura yako, na anaweza aka ku ghost kabisa
Social media are so harsh to us
Social media are so harsh to us