Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Pole sana, nikushauri tu kwamba:
1. Anza kufanya mazoezi kila siku uutengeneze mwili wako ukae vile unahtaji ( hii ni kwa both male and female)
2. Vaa ngua zinazokutosha, i mean ngua zinazoendana na mwili wako na umri wako ( sio binti wa 22 unavaa manguo kama ya mmama au kijana wa 22 unavaa mabuga)
3. Tengeneza nywele zako atleast mara moja kwa 2 weeks, hii itakufanya haiba isipotee usoni hata ukipiga picha itatokea fresh.
4. Tumia mafuta mazuri kwenye ngozi na nywele uonekane nadhifu, i mean ngozi isiwe na mabaka na nywele ziwe nyeusi
5. Vaa accessories kama saa, kalcha n.k hii inakuongezea kua photogenic kwenye picha
N.B sio mpaka uvae vitu vya bei ghali, kumbuka unaweza nunua vitu vya bei juu na usipendeze. Kua presentable tu inatosha
Chamwisho, Camera unayotumia pia iwe nzuri tumia Iphone, Google pixel au Samsung ndo znatoa picha nzuri za kueditika ukapendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Umemaliza mkuu