Mbona sie wenzake tuko proud na sura zetu pasono, na tunapost hivyo hivyo kama kawa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbona sie wenzake tuko proud na sura zetu pasono, na tunapost hivyo hivyo kama kawa.
Muhimu kujikubali tu
Anakwama sana 🤣 anahitaji kushtuliwa ubongoMbona sie wenzake tuko proud na sura zetu pasono, na tunapost hivyo hivyo kama kawa.
Muhimu kujikubali tu
Sasa si kutakuja muda wa kuonana live , na atashindwa kuji edit?Nunua simu kali hata kinyago kinaeditiwa,sasa upige picha kwa tecno toleo la kwanza unategemea nini
Usiogope maana hata yeye anakuwa amekutumia edited versionSasa si kutakuja muda wa kuonana live , na atashindwa kuji edit?
Ubongo hatashtuka vizuri, ashtuliwe fuvu kabisaAnakwama sana 🤣 anahitaji kushtuliwa ubongo