Tusio na muonekano mzuri kwenye picha tunanyanyasika mtandaoni

Wenzio wanapiga picha TABIA, weka tabia achana na uso
 
Umenikumbusha mashindano ya mtu mwenye sura mbaya, Dr. Remmy Ongala alikata rufaa akasemamshindani wake hakuwa na sura mbaya ila aliugua ukoma
 
Jikubali mzee maan usipo jipa credit nani atakupa credit
 
Njoo tukuedit unakuwa handsome kinyama
 
MKUU

Ungetupia picha YAKO !!
Tukusifu ulivopisi kali!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…