Tusio na muonekano mzuri kwenye picha tunanyanyasika mtandaoni


Umemaliza mkuu
 
Tafuta pesa bro hutanyanyasika
 
Tafuta hela ww , ukiwa na hela dem ukimtumia tu pesa yeye hajali sana kuhusu sura yako.

Kuna bro mmoja ana mawe na smart ila ana sura mwizi [emoji1787]yule jamaa me huwa nasema wanawake wana huruma sana aise.. yule jamaa anaweza kusinzia mmekaa anakoroma hapo hapo alafu anacha mdomo wazi sasa najiuliza kama sisi wanaume anatukera je usiku na mkewe anavumiliaje? Sema lina pesa lina mke mzuri balaa kuliko hata nyie masharo uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…