makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Sio mbaya,kikubwa uzima.twins is my favorite pia, ila wakija mmoja mmoja sio mbaya.
Kufuta stress za kodi ya pango means ujenge?Hatua ya kwanza ya Kijana kuwa huru kifikra ni Kupambana kufuta stress za kulipa Kodi ya pango.. Usafiri alafu sasa ndo uanze kuusaka utajirii.
wewe ndio kobisi mwenyewe 😂 😂1. Kobe awe na nyumba, konokono awe na nyumba, na mimi niwe na nyumba ya nini?
2. Hata nisipojenga bado nitapelekwa kwenye nyumba yangu ya milele
3. Hakujenga baba wakati cement ni senti 50, nije kuhangaika kujenga mie cement elfu 17 na mia 5
4. Hakujenga baba kariakoo kiwanja elfu 5, nije kujenga mimi kiwanja kigamboni milioni 100!? 😂🤣
Nipo hapa naandika nikiwa kwenye kibanda changu cha urithi cha nyasi..
Zingatia neno URITHI.
Malizia KIKALA 😂🤣wewe ndio kobisi mwenyewe 😂 😂
Usi chelewe sasaSio mbaya,kikubwa uzima.
Mwanae Greatest Of All Time huyo, ana mkubali kishenzi.Malizia KIKALA 😂🤣
Mule wote wamevaa uhusika vizuri, ila namkubali zaidi yule wa kwenye wheelchair, kwenye fukuto alikuwa mke wa muhogo mchungu(mama nyamayao)
Lile lipo vizuri ila graphics kipengele.Lile game waki improve graphics, basi hakuna game la kuli fikia kudadadeki.
nime licheza 2018, 19, 22 pia
Dah wa kwenye wheel chair ni kisanga kingine, ana kwambia baba usife mpaka upokee mahari yangu😂😂Mule wote wamevaa uhusika vizuri, ila namkubali zaidi yule wa kwenye wheelchair, kwenye fukuto alikuwa mke wa muhogo mchungu(mama nyamayao)
Kuanzia league, uefa, mpaka top scorers aisee hamna game Kali kuzidi lile.Lile lipo vizuri ila graphics kipengele.
Wakati hata bwana hana 😂🤣Dah wa kwenye wheel chair ni kisanga kingine, ana kwambia baba usife mpaka upokee mahari yangu😂😂
Kwa sasa acha niendelee kuburudika na eFootball.Kuanzia league, uefa, mpaka top scorers aisee hamna game Kali kuzidi lile.
Mixer ule ujeuri na mdomo, lazima wapige waue🤣😂Wakati hata bwana hana 😂🤣
Sawa kakaKwa sasa acha niendelee kuburudika na eFootball.
Embu twende mtaani kwanza ukanipe list ya latest series kali kama Mercy for none.
Mtu bingwa kwelikweli
Juzi wahuni wame mpasua 😂🤣Mtu bingwa kwelikweli
Mwanetu anapitia magumu sana🤣Juzi wahuni wame mpasua 😂🤣
Nipo kwenye mchakato😍Usi chelewe sasa
Dah urithi ule wa kukomoana😂Mwanetu anapitia magumu sana🤣