Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Labda nyumba ya dhambiwe ndebile, nusu albino Half american usije hapa, maana nyumba yako unayo pandisha kodi ina julikana
Haji manara acha kambaLabda nyumba ya dhambi
Ehh sina, vipi wewe unayoπ€£πUkubwa wote huo hauna nyumbaπ€£π€£π€£
wakati duniani tuna pita ππ€£Kujenga ni uoga wa maisha mkuu π
Kabisa mkuu π, halafu wote tukijenga wale wanaotegemea nyumba za urithi ili wagawane kodi wataishije?wakati duniani tuna pita ππ€£
Mchawi boksi la kulaliaHomeless tukutane nyuma ya tent
NaamKikubwa uzima
Mfuko boss wanguMchawi boksi la kulalia
Labda kamba za viatuHaji manara acha kamba
Ndio maisha, cheka unenepe ππThese comment got me hollering ππππ
Haji manara tusalimiane isije kuwa wote tume shinda hapo barLabda kamba za viatu
Bar ganiHaji manara tusalimiane isije kuwa wote tume shinda hapo bar
Si hiyo yenye muhudumu wa kichaga ππ¦Bar gani
SiijuiSi hiyo yenye muhudumu wa kichaga ππ¦
Lazima uji zime data, ila leo uki ibuka ume isha, π πSiijui
Uwezi nikuta bar, maeneo yangu ni pork pointLazima uji zime data, ila leo uki ibuka ume isha, π π